Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SAMSUNG YAONGOZA KWENYE MAUZO

.
Kwa miaka miwili iliyopita kampuni ya Apple imeshika soko la teknolojia na kuwa kampuni inayoongoza kutokana na bidhaa zao kama Iphone na imeshinda na kuwa ya kwanza katika tafiti mbalimbali lakini mwaka huu mpinzani wa Apple, Samsung ameongoza na kuwa wa kwanza baada ya utafiti kufanywa kuhusu aliefanikiwa kwa mauzo na kushika soko la bidhaa hizo za teknolojia.
Bidhaa iliyowapa nguvu ni galaxy s3 imeshinda baada ya utafiti kufanywa hivyo imetangazwa kama ni smartphone of the year 2012 ambapo utafiti uliofanywa unaonyesha katika katika miezi mitatu ya mwaka huu Julai, Agosti na Septemba Samsung wameuza simu milioni 18 za s3 na Iphone wameuza milioni 16.2
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top