|
Mshambuliaji
wa Somalia, Ali Ahmed Ali akichuana na beki wa Sudan, Faris Abdallah katika
mchezo wa Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker
Challenge Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Sudan ilishinda 1-0, bao
pekee la Farid
Mohamed.
|
|
Kiungo
wa Sudan, Sadam Abdutalib akijaribu kuwatoka mabeki wa Somalia katika mchezo wa
Kundi B, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge
Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. Timu hizo zilitoka sare ya bila
kufungana na kwa matokeo hayo zinaendeleakushika nafasi mbili za chini kwenye
Kundi hilo.
|
on Wednesday, November 28, 2012
Post a Comment