Jeshi
la polisi likimpakia kwenye gari mtuhumiwa ambaye jina lake halkuweza kufahamika
mara moja aliyetuhumiwa kwa kumtapeli kijana mmoja shilingi laki 2 alipokwenda
kutoa pesa kwenye mashine ya ATM makao makuu ya benki ya Posta yalioko barabara
ya azikwe jijini Dar es salaam.
Polisi
wakimuhoji kijana aliyetapeliwa fedha katika benki ya Posta jijini Dar es salaam
jana
Baadhi
ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa makao makuu ya benki ya Posta
kushuhudia tukio hilo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA
FULLSHANGWE
on Monday, November 12, 2012
Post a Comment