Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Taswira Mbalimbali Kwenye Mkutano Wa AAPAM Uliofanyika Zanzibar Leo.


Rais wa AAPAM Mr.Abdon Agaw Jok Nhial akisalimiana na Makamo wa kwanza wa Rais wa Serekali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad mara baada ya kuasili huko Zanzibar Beach Resort nnje kidogo ya Mji wa Zanzibar kulia ya malim Seif Sharif ni katibu mkuu Baraza la mapinduzi Zanibar pia ni katibu Mkuu kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa kustawi huduma za jamii na utawala bora (AAPAM) wakiwa ukumbini wakisubiri mgeni rasmin Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad ambae alimuakilisha Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DR Ali Mohamed Sheni kabla ya kuwasili ukumbini huko Zanzibar Beach Resort.
Rais wa AAPAM Mr.Abdon Agaw Jok Nhial akihutubia wajumbe wa Mkutano 34 juu ya suala zima la ustawi wa huduma za jamii na utawala bora huko Zanzibar Beach Resort
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top