Bango lilikuwa likitoa Ujumbe wa tukio maalum ya sherehe ye Mahafali ya 38
Brass Band ilikuwa tayari kabisa kuongoza msafara kuelekea ukumbi wa mahali utakapofanyikia.
Wakufunzi walifuatia wakichanja mbuga kuelekea kwenye kiwanja cha ukumbi wa Karimjee ambapo ndipo mahafali yalipofanyikia. (picha na www.ndgshilatu.blogspot.com)
Meza kuu iliyokuwa ikiongozwa na mgeni rasmi, Naibu waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene
Wahitimu mbalimbali. Habari na picha na Emmanuel Shilatu wa www.ndgshilatu.blogspot.com
Wahitimu wengineo walikuwa ni mwendo wa kuwasiliana na simu wakipokea pongezi mbalimbali
Aliyekatikati na Mhitimu na Mwanafunzi bora kabisa kwenye mahafali hayo. Picha kwa hisani ya www.ndgshilatu.blogspot.com
Geofrey Stephen mmojawapo wa wahitimu wa PGDA
Wahitimu mbalimbali wakishangilia mara baada ya kutunukiwa haki zao.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
Alfajiri10 hours ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo8 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-


Post a Comment