Jana usiku tuzo za MTV Europe Music zimetolewa jijini
Frankfurt, Ujerumani.
Taylor Swift na Justin Bieber ndio waliotamba zaidi kwa
kunyakua tuzo 3 kila mmoja ambapo Taylor alishinda Best Female, Best Live and
Best Look.
Justin Bieber, hakuwepo kwenye tuzo hizo lakini
alitengenezwa vichwa vya habari vingi weekend hii kwa habari kuwa ameachana na
mpenzi wake Selena Gomez. Hata hivyo alishinda tuzo 3, Best Male, Best Pop na
Best World Stage.



Post a Comment