Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WASALIMU AMRI KWA SERIKALI


Baadhi ya askari wa kutuliza ghasia wakiwa wamekaa tu baada ya kuwa hawana cha kufanya kwani maandamano hayakuwepo.
Mitaani Kariakoo leo hadi sasa saa kumi,shughuli zinaendelea kama kawaida
Askari wakipiga soga kwenye gari lao lililopaki.

Kulikuwa na jaribio la kuandamana baada ya swala hapa kariakoo,lakini limezimwa bila kusababisha taharuki kubwa,baadhi ya watu wamekamatwa na bado wanashikiliwa.kwa sasa hali ni shwari.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top