Washiriki wote wakiwa
pamoja kabla ya kuanza shindano hilo.
Mmoja wa washiriki
akionyesha hazina yake katika sanaa hiyo.
Washindi wa tano
bora.
Luiza Mbutu (kushoto) wa
Twanga Pepeta akiimba na mwanamuziki mwenzake.
Wanenguaji wa Twanga Pepeta
wakiwa kazini.
Majaji Ally Baucha, (kulia)
John Dilinga na Abdalah Mrisho (kushoto) wakifuatilia shindano
hilo.
Mshiriki akikamua kwa
madoido.
Kinadada wakifuatilia
shindano hilo.
Mashabiki wa soka
wakifuatilia mpambano kati ya Chelsea na Liverpool ukumbini
humo.
Shindano la kumtafuta mkali
wa ‘maiki’, The Mic King, lililoendelea na kufanyika jana Jumapili katika ukumbi
wa kisasa wa burudani wa Dar Live ulioko Mbagala jijini Dar es Salaam, na
kusindikizwa na Bendi ya African Star ‘Twanga Pepeta’, lilitoa burdani ya aina
yake kutokana na vijana washiriki kutoka wilayani Temeke kuonyesha umahiri
mkubwa katika muziki wa kufokafoka.











Post a Comment