Klabu ya Yanga leo imesaini makubaliano ya
upembuzi akinifu na kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG)
kutoka nchini China, juu ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa kisasa Kaunda katika
eneo la makao makuu ya klabu Jangwani
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuph Manji
amesema wamefikia hatua hiyo baada ya kukaa uongozi na kamati ya utendaji na
kujadili juu ya hatua hiyo ambayo kampuni ya BCEG itaanza kazi wiki ijayo na
pindi watakapokalmilisha michoro zoezi litakalofuata litakua awawu ya ujeni
wenyewe.
Hiki ni kipindi cha kufanya shughuli za
kimaendeleo,m na hasa kipindi hichi ambacho klabu yetu ipo katika amani
namshikamano kwa viongozi na wanachama, hivyo naamin mara tutakapomaliza suala
la uwanja tutaanza pia ujenzi wa jengo lakitega uchumi mtaa wa mafia alisema
'Manji'.
Naye Mkurugenzi wa shirika la BCEG nchini, bwana
Geng Hijuan amesema amefurahi kufikia hatua hiyo na klabu ya Young Africans,
kazi waliyopewa sasa wataifanya kwa uhakika mzuri na kutoa makadirio halisi juu
ya gharama ambazo zitagharimu kufanikisha mradi huo.
Kampuni ya BCEG kutoka nchini China ndiyo
iliyojenga uwanja wa Taifa wa kisasa jijini Dar es salaam na sasa ndio waliopewa
kazi ya ujenzi wa Uwanja wa kisasa wa Kaunda.
Naye makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clement
Sanga amemseama, makadirio ya uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji
elfu thelathini (30,000) mpaka elfu arobaini (40,000) kutegemea na wataalam
watakavyoona, pia utakua na huduma zote za muhim katika viwanja vya
kisasa.
Manji alisema mategemeo ya Kamati ya Utendaji ni
kuanza kujengwa kwa uwanja huo mapema kabla ya mwezi juni mwakani, ambapo
desemba 8 mwaka huu watasubiria kupata baraka za wanachama katika mkutano
mkuu.

Post a Comment