Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

ANGALIA PICHA NAMNA DIAMOND,JUMANATURE,PFUNK,LINAH,AT NA RACHEL WALIVYOFUNIKA KATIKA BIRTHDAY YA CLOUDS BILCANAS!



Wasanii wa THT, Rachel na Lina wakikamua.
 
Lina akiimba kwa hisia.
 
Dully Sykes akikamua.
 
Naseeb Abdul ‘Diamond’ akizindua kibao chake kipya kiitwacho Nataka kulewa.
 
Mashabiki wakimtunza Diamond.
 
Makamuzi yakiendelea.
 
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Keisher (kulia) na shosti wake wakifurahia burudani.
 
AT akifanya makamuzi.
 
Mashabiki wakiserebuka kwa raha zao.
 
Ni raha tupu!
 
P Funk ‘Majani’ naye alikuwepo.
 
Juma Nature (kulia) na KR Mullah wakinogesha hafla hiyo.

UMATI mkubwa wa mashabiki usiku wa kuamkia leo ulifurika Club Bilicanas jijini Dar es Salaam ambako kulifanyika ‘Birthday Party’ ya kituo cha redio cha Clouds cha jijini Dar es Salaam kutimiza miaka 13. Katika hafla hiyo wasanii mbalimbali walitumbuiza.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top