Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo
wa
Msumbiji aliyepo Zanzibar
Bernado Contantino Lidimba,alipofika Ikulu Mjii Zanzibar kumuaga Rais.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa
Msumbiji
aliyepo Zanzibar Bernado Contantino Lidimba,alipofika Ikulu Mjii
Zanzibar kumuaga Rais.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu]
Post a Comment