 |
|
Mrakibu
Mwandamizi wa Polisi SSP Mkadam Khamis akimpa Taarifa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ya kukamilika rasmi kwa matengenezo ya choo maalum
cha kuchunguzia wasafiri wa anga wanaotiliwa mashaka kwa
kujihusisha na usafirishaji wa dawa za kulevya kilichopo uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Zanzibar.
|
 |
|
Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar
Nd. Said Iddi Ndembwagani mara baada ya kuwasili
uwanjani hapo kukaguwa choo maalum kwa ajili ya kuchunguzwa wasafiri
wanaotuhumiwa kuingiza dawa za kulevya nchini.
|
on Wednesday, December 5, 2012
Post a Comment