Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema
akitoka katika Mahakama ya Rufaa Tanzania wakati kesi yake ya kupinga kuvuliwa
ubunge wa Arusha mjini ilipoanza kusikilizwa leo. (Na Picha na Habari Mseto
Blog)

(kulia) akiteta jambo na wakili wake, Tundu Lissu nje ya Mahakama ya Rufaa
Tanzania wakati kesi yake ilipoanza kusikilizwa leo

Godbless Lema akiwa ndani ya mahakama akiangalia IPID ndani ya mahakama
| Godbless Lema akiwa na vingozi wa chadema wakionyesha alama ya chadema nje ya mahakama ya rufaa leo |
Godbless Lema akiwa ndani ya mahakama akiangalia IPID ndani ya mahakama
| godbless Lema akitoka mahakamani |
| Godbless Lema akiwa na wakili wake Tundu Lissu leo |
| Gari lenye mashabiki wa lema weakitoka mahakamani leo |

Post a Comment