Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban
Ki Moon akifafanua jambo wakati wa mkutano wake wa mwisho wa mwaka na Klabu ya
Waadishi wa Habari wa Umoja wa Mataifa ( hawapo pichani). Katika Mkutano huo
ambao ulifanyika siku ya jumatano aliutumia kuelezea mafanikio na changamo za
utendaji kazi wa UM katika mwaka unaomalizika. Pia alielezea jitihada
anazozifanya katika kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa eneo la Mashiriki ya DRC.
Akabainisha kwamba katika siku tano zilizopita amekuwa akifanya mazungumzo kwa
njia ya simu na baadhi ya viongozi wa Afrika kwa lengo la kupata mchango na
maoni yao kuhusu mpango mpana wa kisiasa anaojaribu kuuanda kwajili ya DRC
hususani eneo la Mashiriki. Miongoni mwa Marais ambao Ban Ki Moon amefanya nao
mazungumzo ni Rais wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete.
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
DKT NCHEMBA AWAALIKA WAWEKEZAJI KUTOKA JAPAN2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment