Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Dkt. Mohammed Gharib Bilal kuzindua ujenzi wa jengo la TBA

Wizara ya Ujenzi inapenda kuutarifu Umma kuwa siku ya Alhamisi tarehe 20/12/2012, Mheshimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atakuwa Mgeni Rasmi kwenye sherehe ya kuweka jiwe la msingi nyumba za makazi ya Watumishi wa Umma.
Sherehe hizi zitafanyika eneo la Ada Estate, Kinondoni jijini Dar es Salaam, barabara ya Ali Hassan Mwinyi kuanzia saa 2:30 asubuhi.
Viongozi wa Serikali mkoani Dar es Salaam pamoja na Taasisi mbali mbali watashiriki katika sherehe hizo.
Mradi huu ni sehemu ya juhudi ya Serikali ya Awamu ya Nne ya kuongeza na kuboresha makazi ya Watumishi wa Umma. Juhudi hizi zinafanyika katika Mikoa mbali mbali hapa nchini.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top