
RAIS Barrack Obama wa Marekani ametoa wito kwa rais wa Rwanda Paul Kagame, kusitisha msaada anaotoa kwa makundi ya waasi nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

RAIS KAGAME.
Waasi wa M-23
wapo katika eneo la mashariki mwa Congo licha ya kuwepo kwa wanajeshi wa kutunza
amani wa umoja wa mataifa katika eneo hilo. 
ASKARI WA KUNDI LA M23 WAKIWA WANAKOKOTA TOLORO LENYE
MABEKI MOJA YA MIJI WALIYOVAMIA DRC.
Ripoti ya hivi
majuzi iliyochapishwa na Umoja wa Mataifa iliishutumu serikali ya Rwanda kwa
kutoa msaada kwa waasi hao wa Congo, madai ambayo serikali ya Rwanda Imekanusha
vikali.
Post a Comment