Msanii wa Bongo movie maarufu kama
Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake
si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika ghafla kipindi
wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa wako katika mipango ya
kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya matibabu.Loading...
HALI YA SAJUKI YABADILIKA GHAFLA. SASA KURUDISHWA TENA INDIA
Msanii wa Bongo movie maarufu kama
Sajuki ,baada ya kufanya matamasha mbalimbali huko mikoani ameonekana hali yake
si nzuri ki afya.Kwa mujibu wa Dinno ambaye ni rafiki yake wa karibu alisema kwamba hali ya Sajuki ilibadilika ghafla kipindi
wakiendelea na ziara yao huko mikoani lakini kwa sasa wako katika mipango ya
kumpeleka nchini Indian kwa ajili ya matibabu.BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
VOA Express3 hours ago
-
-
-
-
-
-
Serikali yatoa kauli kuhusu Dbi ya Kariakoo8 months ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-

1 comments:
Ee Baba yetu uliye mbinguni umponye mwanao aondokane na mateso hayo, Amen.
ReplyPost a Comment