Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Jack Wolper na Dallas Waanza Kuombana Msamaha

 

BAADA ya kuachana kwa matukio kadhaa ya kuvurugana msanii Jackline Wolper na aliyekuwa mpenzi wake Dallas, inadaiwa kuwa wameanza kupigiana simu za kuombana misamaha, huku kila mmoja akitoa lawama zake kwa baadhi ya marafiki ambao walichangia kuvuruga mahusiano yao.

Chanzo kimoja cha kuaminika kilichozungumza na mwandishi wa DarTalk kilidai kuwa wawili hao wameanza kupigiana simu za kuombana misamaha na muda mwingi wawili hao wamekuwa wakikumbushana na kuelezana namna walivyopendana na kufanya mambo yao kwa pamoja ingawa kuna baadhi ya watu ambao waliwapa nafasi ndiyo chanzo cha kuvurunga mapenzi yao. Hata hivyo chanzo chetu bila kusita kilidai kuwa siku tatu zilizopita wawili hao walionana.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top