Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Kinana Ashiriki Mazishi Ya Katibu Msaidizi Wa Ccm Mkoa Wa Pwani


 

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitia udongo kaburini, wakati wa mazishi ya aliyekuwa Katibu Msaidi wa CCM mkoa wa Pwani, Makame Mohamed Makame, leo kwenye makaburi ya Kisutu mjini Dar es Salaam. Makame ambaye amewahi pia kuwa Katibu wa CCm wilaya ya Kilombelo, amefariki juzi katika hospitali ya Tumbi mkoani mkoa wa Pwani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top