Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mzee Ali Khamis Abdallah (98) ambaye ni mmoja kati waasisi 10,
waliokaa pamoja na kuunganisha vyama vya African Association na Shiraz
Association na kuwa Chama cha Afro Shiraz Party (ASP), wakati akiwa katika ziara
yake ya kutembelea wazee, leo nyumbani kwake Mbweni, mjini Unguja. Kulia ni mke
wa Mzee Ali, Asha Ali Ghulam Hussein.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mzee Ali Khamis Abdallah (98) ambaye ni mmoja kati waasisi 10,
waliokaa pamoja na kuunganisha vyama vya African Association na Shiraz
Association na kuwa Chama cha Afro Shiraz Party (ASP), wakati akiwa katika ziara
yake ya kutembelea wazee, leo nyumbani kwake Mbweni, mjini Unguja.
Post a Comment