Rihanna and Chris Brown arriving at a
Christmas LA Lakers game at the Staples Center in Los Angeles,
California
The Gorgeous Rihanna
The pair giggled throughout the game
Baada ya game kuisha RiRi alitweet
picha aliyopiga na Chris Brown wakiwa wamepose katika Porshe 911 Turbo S
aliyozawadiwa na lebel yake ya Roc Nation ya mtu mzima Jay Z hivi karibuni, na
picha hiyo ilikuwa na caption iliyosomeka "Thug Life, Merry
Christmas".
The Gorgeous Rihanna
The pair giggled throughout the game
Pamoja na
kwamba mpaka sasa Chris Brown na Rihanna hawakubali
kuwa wao ni couples
lakini matukio ya kuthibitisha hili yanazidi kuonekana.
Jana
(december 25) katika kusheherekea sikukuu ya Christmas star kutoka Barbados
Rihanna mwenye miaka 24 aliamua kuchukua flight hadi Los Angeles ambako ali-join
na Chris Brown kushuhudia mechi ya mpira wa kikapu baina ya Lakers na Knicks
iliyopigwa katika uwanja wa Staples Center, Los Angeles
Marekani.
Ni kama
wametoa picha yenye maelezo kuwa wameamua kurudiana tena na kuendelea na maisha
yao pamoja, na hii ni baada ya Chris Brown kuonekana kuvuruga makubaliano yao
hivi karibuni na kula bata na mpenzi wake wa zamani Karuache Tran huko Paris
Ufaransa, kitu ambacho kilimkera sana Rihanna na kuandika tweet za matusi ambazo
zilionekana kabisa kuwa zilielekezwa kwa Chris Breezy kwa kukutana tena na
Karrueche Tran wakati huo Rihanna yuko mpweke kwenye mapumziko yake akitegemea
ujio wa Chris Brown.
Chris Brown
na RiRi walionekana wenye furaha sana wakitabasamu na kucheka mara kwa mara
wakati wanaangalia mechi ya Lakers siku hiyo ya Christmas huko Los Angeles. Ni
kama Chris Brown anaweza kuwamudu na kuwacontrol warembo hawa wawili
matata.
Rihanna
and Chris Brown's
relationship is certainly complicated but, for now at least, it's game
on.
The
Diamonds singer, 24, left Barbados to spend Christmas Day with the R&B
performer, 23, in Los Angeles.
The
pair were spotted cuddling and flirting at the Staples Centre while watching the
LA Lakers take on the New York Knicks.