Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MSHINDI WA MAISHA PLUS AKABIDHIWA KITITA CHAKE



Meneja wa Benki ya NMB, Tawi la Makao Makuu, Benadicta Byabato (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Maisha Plus Seasons 3 Bernick Kimiro kitita cha Shilingi Milioni 20 baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililomalizika juma lililolipita jijini Dar es Salaam.
Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku kaka yake Abdulazizi Abasi (kushoto aliyesimama) na ofisa wa benki hiyo wakifuatilia kwa makini


Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top