Bondia David Charanga
kutoka Kenya (kulia) akienda chini baada ya kupokea konde kutoka
kwa Mbwana Matumla.
--
Mabondia
wa Tanzania jana waling'ara katika mapambano yao yaliyofanyika katika ukumbi wa
Dar Live Mbagala Zakhem. Bondia maarufu nchini, Mada Maugo alimchapa Yiga Juma
kutoka Uganda raundi ya kwanza kwa ‘Knock Out’. Katika hali iliyoonesha kuwa
siku ya vichapo kwa wageni, pambano lingine ambalo bondia Mbwana Matumla
alipambana na bondia kutoka Kenya, David Charanga lililokuwa la raundi nane,
Matumla aliibuka kidedea katika raundi zote nane na kumfanya aibuke na ushindi
wa kishindo.
Bondia Mada Maugo (Tanzania)
akitangazwa mshindi baada ya kumtwanga bondia Yiga Juma (Uganda) kwa KO raundi
ya kwanza.

Post a Comment