Rais Jakaya
Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Rais Mstaafu wa Kosovo
Mhe Behgjet Isa Pacolli leo Desemba
19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
![]() |
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uganda aliyemaliza muda wake wa kazi hapa
nchini Mhe Ibrahim Mukiibi alipofika kuaga leo
Desemba 19,
2012 Ikulu jijini Dar es salam
|
Post a Comment