Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Prime Time
Promotions Ltd, Joseph Kusaga akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya
shilingi millioni 105 kwa uongozi wa timu ya Yanga kwa ajili ya maandalizi ya
mkutano wao mkuu pamoja na mechi ya
kirafiki ya kimataifa katika kukamilisha shamrashamra za kusindikiza mkutano huo
wa kwanza wa uwazi wa kihistoria kwa Club ya Yanga.

Mkurugenzi wa Prime Time
Promotions Ltd,Joseph Kusaga na Makamu
Mwenyekiti wa Club ya Yanga,Clement Sanga wakikabidhiana mikataba yao ya
makubaliano ya kikazi.

Mkurugenzi wa Prime Time
Promotions Ltd,Joseph Kusaga akitiliana saini ya makubaliano na club ya Yanga
kuhusiana na makubaliano ya timu
ya Yanga kusaini mkataba wa maelewano na kampuni ya Primetime Promotions
Ltd,ambapo Prime Time Promotions imekubali majukumu ya matayarisho yote ya
mkutano wa wanachama wote wa Yanga uliopangwa kufanyika Januari
19 2013.

Mkurugenzi wa Prime Time
Promotions Ltd,Joseph Kusaga akifurahia jambo na baadhi ya Wanahabari mara baada
ya kutiliana saini mikataba yao ya kikazi na Club ya Yanga,uliofanyika mapema
leo kwenye makao makuu ya ofisi za club hiyo,Jangwani jijiini
Dar

Mkurugenzi wa Prime Time
Promotions Ltd,Joseph Kusaga akizungumza machache kuhusiana na makubaliano yao
ya kikazi na Club ya Yanga ikiwemo sambamba na makabidhiano ya mfano wa hundi
yenye thamani ya shilingi milioni 105 yaliyotolewa na kampuni ya Prime Time
Promotions Ltd.

Pichani kati ni Makamu Mwenyekiti wa Club ya Yanga,Clement Sanga
akizungumza mapema leo kwenye makao makuu ya timu hiyo na Waandishi wa habari
kuhusiana na timu ya Yanga kusaini
mkataba wa maelewano na kampuni ya Primetime Promotions Lt,ambapo Prime Time
Promotions imekubali majukumu ya matayarisho yote ya mkutano wa wanachama wote
wa Yanga
uliopangwa kufanyika Januari 19 2013.Kushoto ni katibu mkuu wa Yanga Lawrence Mwalusako na kulia ni Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga.
uliopangwa kufanyika Januari 19 2013.Kushoto ni katibu mkuu wa Yanga Lawrence Mwalusako na kulia ni Mkurugenzi wa Prime Time Promotions Ltd,Joseph Kusaga.
Aidha katika mkutano huo
imeelezwa kuwa matayarisho hayo yatahusisha ukumbi na viambatanisho
vyote
muhimu,ikiwemo Live TV coverage na matangazo mbalimbali ya kuhamasisha mafanikio ya mkutano.
muhimu,ikiwemo Live TV coverage na matangazo mbalimbali ya kuhamasisha mafanikio ya mkutano.
Aidha katika kuongeza mapato kwa maendeleo ya club na matayarisho ya
kumalizia ligi, Prime Time Promotions Ltd,imetoa milioni 105 mapato ya uhakika
kwa timu ya Yanga na Prime Time Promotions itaandaa mechi ya kirafiki
ya kimataifa katika kukamilisha shamrashamra za kusindikiza mkutano huo wa
kwanza wa uwazi wa kihistoria kwa Club ya Yanga
ya kimataifa katika kukamilisha shamrashamra za kusindikiza mkutano huo wa
kwanza wa uwazi wa kihistoria kwa Club ya Yanga
Post a Comment