Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara Viwanda na
Masoko, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo
katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Watendaji wa Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko,
wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara
hiyo,wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha
na Ramadhan Othman,IKULU.
Post a Comment