Watalii wakipewa maelezo
juu ya makaburi ya kihistoria yaliyopo Saadani, wakati wa ziara hiyo ya Utalii
inayokwenda kwa jina la 'Mtanzania Tembelea Tanzania'.
Baada ya mzunguko wa
kupita katika vivutio mbalimbali vya Utalii na kujifunza mambo kadhaa ya
Kihistoria, jioni watalii hao waliketi pamoja na kupata chakula cha usiku na
kubadilishana mawazo.
Hapa ni mkali wa kuandaa
maakuli, akiwajibika kuandaa msosi wakati wakiwa ndani ya moja ya eneo la
Vivutio hivyo.
Post a Comment