Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Tigo Goodluck Charles, akizungumza na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu huduma mpya inayomuwezesha
mteja kununua kifurushi cha Extreme kupitia Tigopesa, kushoto ni Afisa Masoko wa
Tigo Jacqeline Nnunduma na Afisa Uhusiano wa Tigo Mariam Mlangwa.
Afisa
Masoko wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Jacqueline Nnunduma akifafanua
jambo kwa waandishi wa habari wakati wakitangaza huduma mpya ya kununua
kifurushi cha Xtreme kupitia Tigopesa.
FAIDA
atakazopata mteja atakayetumia huduma ya Xtreme kupitia tigopesa ni pamoja na
muda wa nyongeza wa Tsh.450 utakao muwezesha kupiga simu kwenda mitandao yote
nchini. Mbali na hilo wateja wataweza kununua vifurushi hivyo kwaajili ya ndugu
jamaa na marafiki.
Post a Comment