|
Mhe.Balozi Rajabu
Gamaha, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
(kulia) na Balozi Albert Shingiro, Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya
Burundi wakiweka saini barua ya pamoja kwa niaba ya Serikali ya Nchi zao ambayo
itawasilishwa kwenye Shirika la Kijerumani la GIZ ili kuomba msaada wa
kuimarisha mpaka kati ya Tanzania na Burundi |
on Tuesday, December 18, 2012
Post a Comment