Mkuu wa
Biashara Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya TTCL, Charles Nkombelwe,
akimkabidhi msaada wa vyakula mtoto Imani Seleman wa kituo cha Yatima Group cha
Chamazi.
Mkuu wa
Biashara Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya TTCL, Charles
Nkombelwe akimkabidhi sehemu ya msaada
wa vyakula mtoto, Khitami Abbasi wa kituo cha Dar Al Alkam cha Tandika. Katikati
ni Abdallah Mohamed. Jumla ya vikuti 3 vilikabidhiwa msaada wa vitu mbalimbali
na Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za sikukuu ya
krismasi na mwaka mpya.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL)
wakiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa vituo vilivyopata misaada leo
kwa ajili ya sikukuu za mwishoni mwa mwaka.
Sehemu ya msaada wa vitu vilitolewa leo na TTCL
kwa vituo vya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Post a Comment