
Rais Kikwete akipungia wananchi mkono wakati akiwasilini uwanjani.

Rais Jakaya Kikwete akiwasili uwanjani hapo.



Mabalozi mbalimbali wakishuka katika basi maalum la Wizara ya Mambo ya Nje mara baada ya kuwasili katika sherehe za Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara, zinazofanyika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam zikihudhuriwa na wageni mbalimbali, mabalozi wakuu wa nchi kadhaa za Afrika, Asia na Ulaya na viongozi wa Serikali wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. Jakaya Kikwete.

Waheshimiwa wabunge na makatibu wakuu wa Wizara mbalimbali wakiteremka kwenye mabasi yaliyowabeba kwa ajili ya kushiriki katika sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara.

Kundi la bendi ya Msondo ngoma likiwatumbuiza wageni waalikwa mbalimbali katika sherehe hizo.

Vijana wa halaiki wakiwa katika staili maalum ya ukaaji katika sherehe hizo.
Kwa hisani ya Fullshangwe .
Post a Comment