 |
Baadhi ya watu waliojeruhiwa
wakisaidiwa na Polisi wa kupambana ujambazi |
 |
Polisi wa kupambana na
ujambazi
Mtu mmoja ameuwawa mida hii katika majibizano ya risasi yaliyotokea maeneo ya
Msimbazi kariakoo, mtaa wa Livingstone kati ya Polisi na majambazi waliotaka
kupora fedha zilizokuwa zinapelekwa benki ya NBC.
Majambazi
hao waliokuwa wamevalia nguo za kiraia inasemekana walijua fedha hizo
zinapelekwa leo hivyo walijiandaa kupora na Mapolisi nao waligundua hilo mapema
hali iliyofanya majambazi hao kurusha risasi hovyo na kukimbia ili kukwepa
kukamatwa.
Hadi sasa ni mtu mmoja anayeripotiwa kuuwawa ila bado
haijajulikana kama ni raia au jambazi wale maana pia majambazi walivaa
kiraia.
|
on Tuesday, December 18, 2012
Post a Comment