Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAFANYABIASHARA WAAMUA KUWA NA SAUTI MOJA

Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Uwekezaji na Uwekezaji Mhe.Dr.Mary Nagu akitoa hotuba wakati wa kikao cha pili cha uimarishaji na uendelezaji wa sekta binafsi yenye sauti moja Tanzania ili kupata sheria ya sekta binafsi itakayosimamia na kimarisha maendeleo ya sekta hiyo kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam .
PICHA NA PHILEMON SOLOMON
Wadau kutoka sekta binafsi hapa nchini wakiwa kwenye kikao hicho
Rais mstaafu wa chama cha wafanyabiashara wenye viwanda na kilimo Tanzania (TCCIA)Bw;David Mwabula akichangia kwenye kikao hicho.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top