Gari walilopata nalo
ajali Salma Salmin ‘Sandra’, Nuru Nassoro ‘Nora’ na Jasmini
Nyaku.
Kwa
mujibu wa chanzo makini, wasanii hao walikuwa ndani ya gari aina ya Toyota Fun
Cargo lenye namba za usajili T 402 CDU ndipo wakapatwa na msala huo maeneo ya
‘round about’ ya Mlimani City, Dar ambapo gari liliacha njia na kupinduka bila
sababu ya msingi.
“Gari halikuwa spidi kiivyo lakini ghafla tukashangaa
kuona linagonga ukingo wa barabara na kupinduka ndipo tulipoanza kuwapa msaada
na kuwapeleka hospitali,” kilisema chanzo hicho.
Post a Comment