Mh. waziri mkuu Mizengo Pinda akizindua mradi wa madawati kwakukata utepe katika kijiji cha Inyoga Katavi kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa Katavi Dr. Rajabu Rutengwe na kushoto ni mwenye kiti wa kijiji cha Inyogo Bw. Athon Kanyika Mh waziri mkuu ambaye ni mbunge wa jimbo la Katavi yupo katika jimboni kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo. (picha na Chris Mfinanga).
 
Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda amepewa heshima ya kimila kwakuvishwa kofia na kukabidhiwa mkuki na wazee wa Inyonga kama ishara ya kutambua mchango wake aliowaletea wananchi wa mkoa wa Katavi Mh waziri mkuu ambaye ni mbunge yupo jimboni katavi katika kuhamasisha maendeleo. (picha na Chris Mfinanga).