Mwanasoka Bora wa Mwaka wa
Afrika, Christopher Katongo, ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya Zambia
(kushoto), akiwa na baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, walipowasili kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salaam, tayari kwa mchezo wa
kirafiki dhidi ya Taifa Stars, utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Desema 22.
(Picha na Habari Mseto Blog)
Wachezaji wa timu ya taifa ya Zambi wakiwasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam
leo.
Mwanasoka
Bora wa Mwaka wa Afrika, Christopher Katongo, akizungumza na waandishi wa habari
za michezo.
Post a Comment