Haya maelezo hayamaanishi siri hizi wazijue wanawake, lakini ni siri zinazowahusisha wanawake wengi, kwa vile hapa tunaongea na wanaume wengi basi ni vyema nikazieleza ili wanaume wengi wafahamu siri zinazowahusu wanawake wao!!!
1. Wanapenda Kufanya Mapenzi ya kupishana

2. Wanapenda Umalize ndani ya muda, Usizidishe muda!
Mume, elewa mkeo anapenda Mapenzi na wala hapendi "Roboti la Mapenzi", kwa hiyo ukiwa katika Game usitake Kumkomoa, na pia Usiwe Mchovu Kitandani!
3. Wengine hawapendi kuchezewa na kidole!
Duh, hapa unawezaona unamgusa maeneo nyeti anautoa mkono, au kama atakuachia basi mkono utabanwa, au kabla haujafanya mbwembwe sana anakuambia tayari muingize mzee mzima ndani, yuo tayari kumpokea!

4. Wanawake wanapenda Mambo Mapya!
Jaribu kuwa mtundu na mbunifu kiasi chakumuonjesha mambo mapya kila leo! Wake zenu wanapenda hivyo japo ataogopa kukueleza kwa baadi yao lakini usifanye mambo vile vile kila siku, uwe unaleta mambo mapya kila leo!
5.Penzi Chai
Usishangae ni kamchezo fulani katamu ambacho katakufanya siku yako nzima iwe ya furaha na amani, kwa wale tulio ndani ya ndoa zetu, amka asubuhi na mapema kabla haujaanya shughuli yoyote, muombe mwenza wako akupe lile tunda la Hawa, kwa ufundi na ustadi wa hali ya juu,then muamke mkaandae maji ya kuoga na muoge, halafu mpate chai ya nguvu yenye virutubisho vyote. halafu rudi kulala kama masaa 2 hivi ukiamka utaamua kutoka au kubaki nyumbani. Penzi Chai linafanyika Weekend au Usiku wa Kuamkia Weekend kwani unakuwa na uhakika wa kupumzika baada ya Mchezo!
Kwa hayo machache natumaini waume mtayazingatia na kuyafanyia kazi ili mapenzi na ndoa zetu zizidi kuimarika!
Post a Comment