Kijana ambaye jina lake
halikuweza kufahamika mara moja jana alijikutana kwenye wakati mgumu baada ya
kupokea kichapo kutoka kwa askari wa jeshi la polisi maeneo ya kigamboni mbele
ya geti la Chuo Cha Mwl Nyerere mara baada ya Kukataa kutii amri ya polisi
iliyomtaka kutulia na kufungwa pingu Mara baada ya askari hao kumkata na
kumfunga pingu kijana huyo alijikuta akionyesha umwamba na kuwapima ubavu askari
hao na kupelekea Kupokea kichapo hadi pale alipotiwa nguvuni na vijana hao wa
Saidi Mwema.
Mtuhumiwa ambaye kosa lake
halikuweza kufahamika kwa haraka (katikatika) akipokea kichapo kutoka kwa askari
polisi hao wawili mara baada ya kukataa amri iliyomtaka kutulia na kufungwa
pingu
Hapa mtuhumiwa alipogoma
kupanda kwenye difenda ya Mwema na kupelekea Kupigwa tanganyika Jeki
ilikupakizwa kwa nguvu
Wakazi wa kigamboni
Waliojitokeza kuona pambano hilo kati ya vijana wa Mwema na Mtuhumiwa ambaye
kosa lake halikufahamika mara moja ambalo liliteka hisia za wakazi hao wa
Kigamboni
Post a Comment