MKAZI wa mtaa wa Tandika,Frank Filias (25) akiwa
amelazwa katika hospitali ya wilaya Temeke wodi namba saba baada ya kupigiwa
risasi na mfanyabiashara mmoja wa mbao kufuatia ugomvi wa kudaiana Sh 100 ya
maji ambayo mama yake mzazi, Sarah Mwaikatale alidaiwa na jirani yake kuwa
alishindwa kumlipa (Picha Na Christopher Nyenyembe )
Dkt. Yahaya Nawanda Ashinda Kesi dhidi ya Mwanafunzi wa Chuo
55 minutes ago
Post a Comment