Waziri Mkuu Mizengo Pinda
akiwa na Wageni waalikwa
na pamoja na viongozi wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es
salaam
Waziri Mkuu akiwasili katika
hafla ya mahafali ya DIT.
Mgeni rasimi Mh Waziri mkuu
Mizengo Pinda (c) akiwa na waziri wa sayansi na teknolojia Profesa Makame
Mbarawa (L) katika mahafali ya sita ya Taasisi ya Teknolojia ya Dar es salaam
kulia kwa waziri mkuu ni mkuu wa chu Prof Jonh Kondoro.
Baadhi ya wahitimu katika
Taasisi ya Teknolojia ya Dar es saalam.
Post a Comment