Mkuu wa Jimbo Dayosisi ya
Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akizungumza katika hafla ya kuangalia
jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT Usharika wa
Msasani.
Baadhi ya wadau
waliohudhuria hafla hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiteta jambo Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex
Malalusa.wakati
wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni
9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo
lenye ghorofa saba.
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex
Malalusa.akizungumza wakati
wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni
9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo
lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza jijini Dar es Salaam,
mwishoni mwa wiki wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi
la Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni
9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki hiyo. Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk
Alex Malalusa na Naibu Katibu Mkuu Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji
Chadiel Sendoro. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa
saba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipokea ufunguo kutoka kwa Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa (wa
pili kushoto) wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la kanisa
hilo Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya
fedha hizo ni mkopo kutoka benki hiyo. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika
jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipeana mkono na Askofu Malasusa
baada ya kumkabidhi ufunguo ya jengo hilo ambapo benki hiyo ni sehemu ya
wapangaji katika jengo hilo.
Meneja Uhusiano wa Benki ya
CRDB, Godwin Semunyo akipeana mkono na Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex
Malalusa.wakati
wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni
9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo
lenye ghorofa saba.
Mkuu wa Jimbo Dayosisi ya
Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akiomba baraka. kwa ajili ya jengo jipya
la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT Usharika wa Msasani.
Askofu Malasusa akitoa
baraka.
Wadau
Mandhari ya Ukumbi wa
mikutano katika jengo la kitega uchumi la Msasani Multpurpose Development Centre
(MMDC)
Askofu
Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),
Dk Alex Malalusa akikagua jengo
la
kitega uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika
wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo
kutoka benki ya CRDB. CRDB
pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Post a Comment