|
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kushoto) akisalimiana
na Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint Ange,
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe
wake. |
|
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na
Mkurugenzi wa Kimataifa wa Mfuko wa Maendeleo ya Kilimo Perin L.Saint Ange,
(katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake. |
on Thursday, January 10, 2013
Post a Comment