 |
| Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akifungua pazia kama
ishara ya uzinduzi wa Jengo la Bohari Kuu ya Dawa, Maruhubi nnje kidogo ya mji
wa Zanzibar jana ikiwa ni shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya zanzibar, (kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso
Lenhardt. |
 |
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (wa tatu Kulia) pamoja
na Viongozi wengine akiwemo Balozi wa Marekani Nchini Alfonso
Lenhardt.wakiangalia namna ya uchukuwaji dawa kwa kutumia mashine maalum na
kutoa nje ya Bohari kuu ya Dawa, baada ya ufunguzi rasmi jana huko Maruhubi Nje
ya mji wa Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
 |
| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Bohari Kuu ya
Dawa Zanzibar, Said Mohamed, (kulia) alipotembela jana na kuzinduwa Jengo la
Bohari Kuu ya Dawa huko Maruhubi Nje ya Mji wa Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra
za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi ya zanzibar, (wa tatu kushoto) Balozi wa
Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt. |
|
on Monday, January 7, 2013
Post a Comment