Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Dk. Shein azindua Mradi wa e-Govement,Mazizini Unguja

 

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa e-Govement,ni Mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambao ni utumiaji wa Teknohama katika shughuli za kiserikali pamoja nautoaji wa huduma kwa Wananchi au Taasisi ili kuleta ufanisi,wepesi pamoja na uwazi,uzinduzi huo umefanyika huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.

 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Balozi wa China nchini Tanzania Lou Younging, wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa e-Govement,ni Mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambao ni utumiaji wa Teknohama katika shuhuli za kiserikali pamoja nautoaji wa huduma kwa Wananchi au Taasisi ili kuleta ufanisi,wepesi pamoja na uwazi,uzinduzi huo umefanyika huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top