Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi(kulia) na Afisa
mwandamizi kutoka katika kitengo cha elimu katika ofisi ya Benki ya Dunia
nchini Bwana Nobuyuki Tanaka wakikata utepe wakati wa hafla ya ufunguzi wa Shule
ya Sekondari ya Mlimani Matemwe huko Zanzibar jana.Shule hiyo imejengwa kwa
ushirikiano kati ya Serikali ya Mainduzi Zanzibar na Benki ya Dunia. Picha na
Freddy Maro wa Ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akiangalia vitabu vya masomo katika maktaba ya shule mpya ya Sekondari
ya Mlimani Matemwe muda mfupi baada ya kuifungua rasmi jana.Kulia ni Ofisa
mwandamizi kutoka ofisi ya Benki ya Dunia nchini anayeshughulikia masuala ya
elimu Bwana Nobuyuki Tanaka na kushoto ni Mwalimu mkuu wa Shule hiyo Mohamed
Mzee Choum.
Post a Comment