Muimbaji Avril from
Kenya amekana uvumi kuwa anakula urojo na A-list musician from Tanzania Diamond
Plutnumz. muimbaji huyu ametokea
kwenye video mpya ya Diamond "kesho", Avril amesema kuwa uvumi huo unasambaa ingawa
hauna ukweli wowote kwani wao wameshirikiana kikazi tu, ingawa wengi bado
wanatilia shaka habari hizi kuwa kama kweli they are not an item. let us wait
and see.......kwani mapenzi ni kikohozi kikali huwezi kukizuia.
Loading...
Post a Comment