ELIMU Awadh - Mjumbe wa
Tume ya Mabadiliko ya Katiba Bw. Awadh Said (kulia) akiongea na viongozi wa
Jukwaa la Mamlaka na Taasisi zinazosimamia na kuthibiti ubora wa elimu nchini
ulioongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Sifuni Mchome (mwenye tai katikati). Jukwaa
hilo lilikutana na Tume katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo
(Jumapili, Jan 13, 2013) kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba
Mpya.
Picha na Tume ya
Katiba.
Post a Comment