|
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Charls Kitwanga (kulia) akizungumza Jambo na Mbunge
wa Jimbo la Pangani Saleh Mbamba (katikatti) Mara Baada ya Kikao cha Bajeti ya
Nusu Mwaka kwa Ofisi ya Makamu wa Rais na kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira
Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu.
|
|
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira Dk Terezya Huvisa, akitoa Maelezo ya Matumizi ya Bajeti ya Nusu Mwaka
wa Fedha 2012/2013 Mbele ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira Kwenye
Ofisi za Bunge Jijini Dar es Salaam.
|
|
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya
Maliasili na Mazingira James Lembeli wakifuatilia maelezo ya wajumbe wa Ofisi ya
Makamu wa Rais wakati wa kupokea taarifa ya Matumizi ya Fedha za Bajeti ya
Nusu Mwaka wa 2012/2013.
|
on Thursday, January 24, 2013
Post a Comment