Katibu
Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM Bw. Martin Shigela akishiriki katika
kupalilia shamba la Karanga katika kijiji cha Nkungwe Tarafa ya Mabembe
Wilaya ya Kigoma Vijijini wakati alipotembelea na kujionea shughuli
mbalimbali na kukagua miradi inayotekelezwa na wananchi kwa pamoja na
Serikali jana.
Sekretarieti
ya CCM ikiongozwa na katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana iko
mkoani Kigoma kwa ajili ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha
Mapinduzi na sherehe za miaka 36 ya chama hicho zinazotarajiwa kufanyika
Februari 3 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo, kulia ni Bi
Fatma mmiliki wa na kushoto ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya
Kigoma Vijijini.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akisalimiana na
wananchi wa kijiji cha Nkungwe wakati alipotembelea katika kijiji hicho
jana
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akikabidhiwa zawadi ya
mihogo na Bi Asha Ibrahim mara baada ya kutembelea shamba lake jana,
.Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha muhogo bra
katika mkoa wa Kigoma.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiongozana na
Bw.Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini mbele yake
wakati akikagua shughuli za ukulima wa kisasa katika kijiji cha Nkungwe
Kigoma Vijijini, Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa
kilimo cha muhogo bra katika mkoa wa Kigoma.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimsaidia Bi. Asha
Ibrahim kufukia mbegu ya Viazi, huku viongozi mbalimbali wa CCM wilaya
ya Kigoma Vijijini wakishuhudia tukio hilo.
Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimkabidhi zawadi ya shilingi elfu 10,000 mtoto Rehema huku mama yake akimsaidia wakati alipotembelea na kujionea shughuli za kilimo katika kijiji cha Nkungwe jana
Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimkabidhi zawadi ya shilingi elfu 10,000 mtoto Rehema huku mama yake akimsaidia wakati alipotembelea na kujionea shughuli za kilimo katika kijiji cha Nkungwe jana
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akivuka katika kivuko
cha Mto Ruchi kwa kutumia Baiskeli huku akiwa ameonozana na viongozi
mbalimbali wa CCM wilaya ya Kigoma Vijijini pamoja na watendajiwa kijiji
hicho jana inaelezwa kwamba watu wengi walipotea maisha kwa kuliwa na
Mamba kabla ya kujengwa kivuko hiki.
Katibu
Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimenya muhogo ili
kutafuna kidogo mara baada ya kununua kwa mmoja wa wakulima Kijiji cha
Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha Muhogo mkoani Kigoma
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiagiza jambo kwa
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kigoma Bw Peter Msanjila wakati
alipotembelea kata ya Mwanduga jana kulia ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa
CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akizungumza na
wanafunzi wa shule ya msingi ya Kabanda katika kijiji cha Chabwimba jana
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika Kata ya Mabembe.
Wananchi wa kijiji cha Mabembe wakimsikiliza mwenyekiti wa UVCCM katika Kata ya Mabembe kwenye mkutano wa ndani
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akicheza na msanii
chipukizi wa kijiji cha Mabembe ambaye ni mlemavu wakati alipotembelea
na katika Kata ya Mabembe
Mjumbe
wa NEC CCM kupitia Wilaya ya Uvinza Asha Baraka akiwa katika mkutano wa
hadhara uliofanyika katika Kata ya Mwanduga Kigoma jana kulia ni Khamis
Bitese Mwenyekiti wa CCM Kigoma Vijijini na katikati ni Peter Msanjila
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kigoma.
Martin
Shigela Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa akihutubia mkutano wa hadhara
uliofanyika jana kwenye kata ya Mwanduga Wilaya ya Kigoma vijijini
Matin
Shigela Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa akipata maeleo kutoka kwa Khamis
Bitese Mwenyekitiwa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini wakati alipotembele
na kukagua ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi ya Kabanda.
Post a Comment