Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIKAO CHA BUNGE CHAANZA LEO NA KUUNDA KAMATI YA KUSIKILIZA MAONI YA WANANCHI WA MTWARA KUHUSU GESI


 

Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa taarifa kwa wabunge (kawapo pichani) wakati wa kikao cha kwanza cha Bunge kilichoanza leo mjini Dodoma kuhusu kuundwa kwa kamati itakayokwenda mkoani Mtwara kusikiliza maoni ya wananchi wa mkoa huo kuhusu tatizo la suala la gesi.
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (kulia) na Mbunge wa kuteuliwa (NCCR- MAGEUZI) James Mbatia, wakifuatilia masuala mbalimbali Bungeni leo mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge wakifuatilia maswali na majibu katika kikao cha mkutano wa kumi mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia , January Makamba, akijibu hoja za wabunge zinazohusu wizara yake Bungeni mjini Dodoma leo.
Baadhi ya wabunge wakisalimiana baada ya kuahirishwa kwa kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.
Mbunge wa( Monduli )Edward Lowassa (kulia) akimsikilza Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo, katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo, Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top